Les Wanyika..

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Na weza sema hakuna bendi iliyoweza charaza muziki ya nguvu kama hii kwa ukanda wa East Africa,nyimbo zake hazi chuji kamwe,naweza sema ni bend yenye mafanikio makubwa kwa kipindi chake chote.
Ili anzishwa 1971 na ilingara zaidi na kutambulika 1978 ..
Ni bendi ilio anzishwa na wa mchanganyika wa wa Tanzania George kinyonga na Wille baadae waka
 
Ni kweli, Les Wanyika walifanya kazi nzuri sana ambayo mpaka leo 2013 inaonekana. Wana nyimbo nzuri zilizopigwa kwa umahiri wa hali ya juu na zina ujumbe makini kama vile Barua, Pamela, Wazazi nk Nawakumbuka George na Wilson Peter Kinyonga, Profesa Omari na wengineo ambao waliunda kundi hili miaka hiyo.
 
Wenge Music BCBG 4X4!..

Hadi kesho hivi vichwa ninaamini ndy vilikuwa funga kazi,wasingesambaratika hawa jamaa mziki wao usingeshikika hata

zaidi ya 1000 yrs.

Samahani les wanyika siwafahamu sana japo hilo jina huwa nalisikia tu!...
 
Wenge Music BCBG 4X4!..

Hadi kesho hivi vichwa ninaamini ndy vilikuwa funga kazi,wasingesambaratika hawa jamaa mziki wao usingeshikika hata

zaidi ya 1000 yrs.

Samahani les wanyika siwafahamu sana japo hilo jina huwa nalisikia tu!...


Hapa Mareshare Mukulu Suvelee Premier Jeam Bedel Mpiana, pale kuna ngiama makanda...
Kisha kuna akina Roberto Ekokota, Allan Makaba, Adolph Dominguez, Didier Masela, Afande Allan Mpela, Emilia Kusangila, tutu Kaludji, Burkinabe Burkinafasoo, blaisse Bulla na nguli wengine...

Nakumbuka kikosi hicho Fally Ipupa alienda kuomba namba kisha akaambiwa chagua mtu wa kutolewa kisha wewe upewe nafasi, Dah alikosa ikabidi akung'ute wowowo kisha aende kwa Koffi...
 


Kiboko yao ni Daniel Toroitich Arap Moi...
 
Mkuu hicho kikosi hakikuwa cha kawaida!..

Dah umetisha sana ulivyokipanga mkuu,kikiongozwa na Captain mwenyewe Papa Shelii!...

 
Taarifa ya habari KBC na leornald mambo mbotela, utasikia MTUKUFU RAIS DANIEL TOROITICH ARAP MOI


Ah hah hah haaaah hata kama ametembelea banda lake la Bata lililopo Taveta, basi lazima habari hiyo iwe ya kwanza...
 
Reactions: PhD
Wenge BCBG 4x4 haiwezi kukamilika bila kutambuwa uwepo wa Mfadhili wao mkuu, Jose Kongolo Mibeto FBI ( Saddam Hussein ) son of Mabutu Seseseko wa Kuku wa Zabanga.
 
Wenge BCBG 4x4 haiwezi kukamilika bila kutambuwa uwepo wa Mfadhili wao mkuu, Jose Kongolo Mibeto FBI ( Saddam Hussein ) son of Mabutu Seseseko wa Kuku wa Zabanga.


Naaaaam naaaaaam Yakhe...
 

Duh hii kali ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…