Lesen ya gari

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
113
natafuta leseni ya gari jamani nani anauwezo wa kunipatia ndani ya siku moja na kwa shilingi ngapi vile niwe nayo?
 
ndani ya siku moja haiwezekani ,kuanzia siku 3,nenda kafanyiwe majaribio pale oysterbay police,then myfair tra,unalipia bank 40elfu tu
 
ukitaka in two days yaani leo unapiga picha kesho unachukua leseni yako.
 
"Leseni ya gari" una maana gani? Road license ya gari au leseni yako wewe ya kuendeshea gari?. Kama ni road license nenda tra na ile iliyokwisha na utapata mpya siku hiyo hiyo. Kama ni leseni yako ya kuendeshea gari nenda ukafanyiwe test trafic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…