wana jf salaam zenu,naomba kuuliza vipi huko tra zoezi la ubadilishaji leseni limeshasimamishwa mwisho wa mwezi march au bado linaendelea na huu mwezi april !!!!
Hivi sheria ya zamani ya leseni imesharejewa /reviewed na kurekebishwa kisheria?. Naomba hiyo Act/ Ammendment na Penal code?? inayotumika kwa sasa. Ni Bunge la lini limepitisha sheria mpya na kufuta zile za zamani??