Leseni ta biashara ataipataje?

evan rwiza

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
38
Reaction score
25
wakuu naomba kujua, kuna jamaa yangu ana kampuni sasa anataka akachukue leseni ya biashara manispaa ila ameambiwa inatakiwa apeleke uthibitisho wa vitambulisho mf: cha kura/taifa vya shareholders ili kuthibitisha kuwa wanaomiliki hyo kampuni ni watanzania lakin shareholder mmoja ni mtoto wake ambaye bado mdogo, hajapata kitambulisho cha taifa wala cha kura though ana cheti cha kuzaliwa, naomba mwenye wazo linaloweza kusaidia utatuzi wa hili jambo, naomba kuwasilisha.
 
A minor can be a share holder?? Namaanisha mtoto chini ya 18 age ana capacity kwenye Contract???? Otherwise Mdhamini wake ambae pia anaweza kuwa mama yake au wakili wake anaweza simama instead


Pia jamaa anatafuta Leseni ya biashara, yani ina maana alifungua kampuni bila kuwa na leseni ya biashara?


Kuna vitu sielewi hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…