Leseni ya kuanzisha huduma ya elimu ya juu

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Habari zenu wakuu,

Naomba anayeelewa utaratibu wa namna ya kuomba leseni ya kuanzisha centre ya kutoa elimu ya juu anipe dondoo. Je inaombwa kwa nani/wizara ipi?

Ahsanteni.
 
Elimu ya juu unayozungumzia hapa ni ipi? University au college. Na ni katika fani ipi? k.m. kama ni ufundi na fani kama hizi basi NACTE wanakuhusu.

Fanya swali kuwa specific kidogo.
 
Elimu ya juu unayozungumzia hapa ni ipi? University au college. Na ni katika fani ipi? k.m. kama ni ufundi na fani kama hizi basi NACTE wanakuhusu.
Fanya swali kuwa specific kidogo.

Ahsante. Ni kwa level ya university, kama vile Udsm, Tumaini univ. etc.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…