Hayo yote wanafanya ili kulinda mazingira,Singapore ina Public transport network nzuri sana,hakuna ulazima sana wa kumiliki private car,halafu gari ikimaliza miaka 10 tu ndio basi tena coz kuirenew ili uendelee kuitumia ina cost kubwa kuliko value ya gari yenyewe,
Hata Nyumba ukijenga baada ya miaka 100 inakua ni mali ya Serikali but wanao hupewa makazi na serikali baada ya hiyo miaka.