E Eliya Mkama Member Joined Aug 12, 2019 Posts 6 Reaction score 1 Aug 12, 2019 #1 Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kupata kibali cha biashara cha magufuli kwa maana mm ni natarajia kuwa na biashara ya juice
Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kupata kibali cha biashara cha magufuli kwa maana mm ni natarajia kuwa na biashara ya juice
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Aug 13, 2019 #2 Leseni ya Magufuli watu hawaijui na haipo. Lkn ungesema kitambulisho cha wamachinga hapo waungwana wanaweza kukusaidia.
Leseni ya Magufuli watu hawaijui na haipo. Lkn ungesema kitambulisho cha wamachinga hapo waungwana wanaweza kukusaidia.
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Aug 13, 2019 #3 Upo wapi ninavyo geto hapa
E Eliya Mkama Member Joined Aug 12, 2019 Posts 6 Reaction score 1 Aug 13, 2019 Thread starter #4 aaaah sawa mng'ato said: Leseni ya Magufuli watu hawaijui na haipo. Lkn ungesema kitambulisho cha wamachinga hapo waungwana wanaweza kukusaidia. Click to expand...
aaaah sawa mng'ato said: Leseni ya Magufuli watu hawaijui na haipo. Lkn ungesema kitambulisho cha wamachinga hapo waungwana wanaweza kukusaidia. Click to expand...