Leseni ya makazi na mkopo

Leseni ya makazi na mkopo

Makenya

Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
33
Reaction score
3
Wana jf naomba kuuliza kuna benk au taasisi ya fedha ambayo wanazikubali hizi leseni,ili uweze pata mkopo.
 
Wana jf naomba kuuliza kuna benk au taasisi ya fedha ambayo wanazikubali hizi leseni,ili uweze pata mkopo.

Azania wanazikubali lakini hawakupi zaidi ya milioni kumi hata kama nyumba yako ni 100m

na sababu kubwa ni kuwa Hizo hati za makazi zinatolewa kwa maeneo yaliyojengwa bila kufuata mipango miji na maeneo hayo yapo maalumu nao wanayajua, hawawezi kupokea hati ya makazi say ya Mbezi, kibamba, tangimbovu na maeneo yaliyo nje ya miji ya zamani kama Mazense, kinondoni, magomeni, tandika, nk

NENDA AZANIA BANK MKUU
 
Back
Top Bottom