Azania wanazikubali lakini hawakupi zaidi ya milioni kumi hata kama nyumba yako ni 100m
na sababu kubwa ni kuwa Hizo hati za makazi zinatolewa kwa maeneo yaliyojengwa bila kufuata mipango miji na maeneo hayo yapo maalumu nao wanayajua, hawawezi kupokea hati ya makazi say ya Mbezi, kibamba, tangimbovu na maeneo yaliyo nje ya miji ya zamani kama Mazense, kinondoni, magomeni, tandika, nk