Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Kazi kaziSiasa na kazi
Mitano tenaSheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha gari private wala nn ni gari zote za aina hiyo zinatakiwa kukatiwa leseni hiyo kuepuka usumbufu na fine zisizo za lazima.
Nimesisitiza kwa ukali kwa kuwa ni sheria sio ombi
MITANO TENA
Uzi tayari
Kubeba abiria lazma uweke plate number nyeupe πππ ni gharama ingine.swali langu vipi kuhusu gari za utalii nikiwa na LATRA na leseni inaruhusu kwenda popote east africa je naweza kuifanyia biashara ya kubeba abiria hasa kipindi hiki wazungu hamna??
Wazee wa Mapanga Nshaa!Na hawa LATRA si ndio wale wanaotembea na mapanga wanasema wamepewa meno ? Kuweni makini.
Kubeba abiria lazma uweke plate number nyeupe [emoji16][emoji16][emoji16] ni gharama ingine.
Haswaa yani ukitaka gari iwe ya abiria tu hata kama ni vits shurti iwe na plate namba nyeupe.Kama nimekuelewa, za utalii naona ni zote zina plate number nyeupe
Sio kweliSheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha gari private wala nn ni gari zote za aina hiyo zinatakiwa kukatiwa leseni hiyo kuepuka usumbufu na fine zisizo za lazima.
Nimesisitiza kwa ukali kwa kuwa ni sheria sio ombi
MITANO TENA
Uzi tayari
Hizi habari sio za kweli nduguSheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha gari private wala nn ni gari zote za aina hiyo zinatakiwa kukatiwa leseni hiyo kuepuka usumbufu na fine zisizo za lazima.
Nimesisitiza kwa ukali kwa kuwa ni sheria sio ombi
MITANO TENA
Uzi tayari