Hapana mkuu una update kwa kulipiaNaomba nielimiamshwe, leseni ya udereva ikiisha muda ulioandikwa inamaanisha na ujuzi unaisha? Kwa nini kama ndiyo hata vyeti vya taaluma basi tuwe tunabadilisha kila baada ya muda fulani.
Pia kama Kitambulisho cha NIDA kimefutiwa ukomo basi na leseni ifutiwe.
Au ni biashara?
Hili ndio JIBU.Au ni biashara?
Kuna baadhi ya taaluma pia zina leseni na kuna muda ukifika lazima zilipiwe haijalishi umeitumia au lah, haimaanishi ujuzi wa io fani umeisha.. Anyway ndo ivo mkuu😂😂😂Naomba nielimiamshwe, leseni ya udereva ikiisha muda ulioandikwa inamaanisha na ujuzi unaisha? Kwa nini kama ndiyo hata vyeti vya taaluma basi tuwe tunabadilisha kila baada ya muda fulani.
Pia kama Kitambulisho cha NIDA kimefutiwa ukomo basi na leseni ifutiwe.
Au ni biashara?
Tafsiri yake ni kuwa udereva kama utaalamu unanunuliwa! Otherwise ibadilishwe jina; isiitwe leseni ya udereva badala yake iitwe leseni ya barabarani!Hapana mkuu una update kwa kulipia
Mbinu za kupiga hela tu hamna kitu na hasa hizi professional boards ili utambuliwe lazima ulipie.Kuna baadhi ya taaluma pia zina leseni na kuna muda ukifika lazima zilipiwe haijalishi umeitumia au lah, haimaanishi ujuzi wa io fani umeisha.. Anyway ndo ivo mkuu😂😂😂
Hapo sawa! Waende straight kwenye sababu ya msingi sio kuzunguka bila sababu. Iitwe kodi au tozo ya udereva itaeleweka vizuri zaidi badala ya kuleta confusion.Kifurushi cha simu kikiisha na cm inakuwa imeharibika?
Lengo la lessen ni kuongeza mapato ya serikali.....au ulitaka kiwe km cheti cha kuzaliwa ukipewa umepewa?
Hapana mkuu ujuzi hauishii ila ni njia tu za upigaji japo sijafuatilia nchi nyingine wanafanyaje all in all tupo kwenye nchi ya ajabu sanaaTafsiri yake ni kuwa udereva kama utaalamu unanunuliwa! Otherwise ibadilishwe jina; isiitwe leseni ya udereva badala yake iitwe leseni ya barabarani!
That means, ili uwe na chombo barabarani lazima uwe umelipia na sio kwamba huna skills.
Kama sababu ndo hizo kwanini isiwe bure ku-renew?Kuna sababu 3 kubwa za msingi za kumalizika kwa muda wa leseni kila baada ya miaka 10 at least:
1. Kubadilika kwa sura ya mtu baada ya muda.
2. Kubadilika kwa hali ya afya e.g. matatizo ya macho
3. Ku update system e.g. kifo na kukosa uwezo wa kuweza kuendesha kutokana na umri kuwa mkubwa.
Ku renew leseni haitakiwi kuwa ni chanzo cha mapato kwa taasisi husika.
Iwapo hujailipia leseni kwa muda wa miaka mitatu mfulululizo(respectively) leseni yako inafungiwa na ukitaka tena leseni itabidi uanze process upyaa za kutafuta leseni kama mwanzoSwali la uelewa kwa wale wenye ufahamu na hili;
Je iwapo dereva amekumbwa na matatizo na hajaripia upya leseni yake kwa hiyo miaka mitatu inakuwaje?
Je? Leseni inafungiwa au anaenda ku-renew tu. Au anaanza upya process za kupata leseni
Serikali iligundua hilo kwa kuanzia kitambulisho cha NIDA kuwa inacheza upatu kwenye eneo la lifespan.Naomba nielimiamshwe, leseni ya udereva ikiisha muda ulioandikwa inamaanisha na ujuzi unaisha? Kwa nini kama ndiyo hata vyeti vya taaluma basi tuwe tunabadilisha kila baada ya muda fulani.
Pia kama Kitambulisho cha NIDA kimefutiwa ukomo basi na leseni ifutiwe.
Au ni biashara?
Mkuu je kama ni miaka miwili ma nusu inakuwajeIwapo hujailipia leseni kwa muda wa miaka mitatu mfulululizo(respectively) leseni yako inafungiwa na ukitaka tena leseni itabidi uanze process upyaa za kutafuta leseni kama mwanzo
Mamlaka imeweka sheria hio lbda kwa kuona kua utakua ushasahau mambo mengi kuhusu udereva au ndio sheria tu imewekwa hivo
Asante sana
Unaweza kuipata bila ya wasi wasi nenda kajaribu mkuu kesho ijumaaMkuu je kama ni miaka miwili ma nusu inakuwaje