Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
Huu mchongo unawahusu wataalamu wa afya tabibu, daktar, nesi!
Iko hivi kuna vigezo vimewekwa na Wizara ya afya kusajili kituo cha afya iwe zahanati, kituo cha afya nk.
Sasa kuna idadi ya watalaam ukiwanao unaupgrade kituo ama kupata usajili.
Mwenye kituo hawezi kuwa na idadi ya hao watalaam (hawez kuwalipa) na kuweka mchongo wa ajira ili kupata valid leseni na kuzitumia (kujinufaisha na leseni za waomba ajira)
Ushahidi wa hili nina mshikaji wangu kapigiwa simu na wamiliki wa zahanati fulani hivi wanataka kuchangia ku renew leseni kisha awatumie copy inamaana wameitumia imeisha muda ndo wakamcheck kwani aliwahi omba kazi katika zahanati hiyo.