FrankMakeps
Member
- Apr 1, 2013
- 96
- 81
Jaman samahani naomba kuuliza unaweza vipi kupata lesen class C kavu au C1 hata kama hauna cheti cha driving
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu cna ila kdg kudrive nawezaClass D unayo ?
Okey shukran mzeeTafuta kwanza class D ndio uje C1 c2 c3n E ndi uje c kavu
Class D unayo ?
Mie ninayo D,nikitaka kupandisha daraja nifanyaje cheti sina ukumbukeTafuta kwanza class D ndio uje C1 c2 c3n E ndi uje c kavu
Mie ninayo D,nikitaka kupandisha daraja nifanyaje cheti sina ukumbuke
Kasome kozi ya PSV upate ujuzi na cheti...njia za mkato sio nzuri, tumechoshwa na ajaliUkiwa Na D au E ila cheti huna inakuaje kupata C kavu
Naunga mkono hojaKasome kozi ya PSV upate ujuzi na cheti...njia za mkato sio nzuri, tumechoshwa na ajali
Huwezi kupata.Jaman samahani naomba kuuliza unaweza vipi kupata lesen class C kavu au C1 hata kama hauna cheti cha driving