Leslei Liundi: VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree na siyo inayofanya maamuzi Uwanjani

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Msimamizi wa Video Assistant Referee (VAR), Nchini Tanzania, Leslei Liundi akizungumzia kuwepo kwa Teknolojia ya VAR kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, alitoa ufafanuzi matumizi ya mitambo hiyo kuwa VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia refa kinyume na watu wanafikiria kuwa inatoa maamuzi uwanjani.

"VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree na siyo inayofanya maamuzi, maamuzi yanafanywa na Referee, kwahivyo VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree kuona tukio ambao either hakuliona vizuri au alivyoliona sivyo uhalisia wake jinsi ambavyo lilivyo

Kwahivyo wale walioko ndani wanamuita Referee, kwenye ( Video Riview Refaree) na Referee anakwenda anangalia either anajitosheleza kama maamuzi aliyekuwa ameamua mara mwanzo aendelee kubakia nayo au anayabadilisha, na si kwa mambo yote yanayotokea kiwanjani lakini kuna baadhi ya mambo Referee anahusika nayo kuzungumza na watu wa VAR".

NB: Kwahivyo wale wenye mashaka na maamuzi ya refa na kupumua kwa shida na kuteseka moyoni kwamba kwanini refa hakwenda kwenye mtambo wa Video Riview Refaree hili hapa somo kutoka kwa msimamizi na mtaalamu mbobezi wa VAR Leslei Liundi.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
 
Video Riview Refaree
5deab9c67b3f41a31b6c5b0249ffa5c3.jpg
 
VAR haikuwepo Kwa Mkapa. VAR inahitaji camera 33 jamaa walikuja kuchujua posho tu. Wao hawakuja ata na camera Moja, yaani walizitegemea camera nane za Azam tv. Matokeo yake wakakosa video za kumsaidia refa kurejea tukio.
 
Hukumu ya haramia huwa ni kifungo au kifo haijalishi silaha gani inatumika kwa hiyo mlichokipata ni stahiki yenu ingawa haramia wewe umekuwa dhaifu pigo moja tu ukaisha pole sana mwili unaondoka saa ngapi?
 
Iwepo au isiwepo lakini haifanyi maamuzi, maamuzi yanafanywa na Referee

Soma Uzi uelewe, ili kukuepusha na hali ya kupumua kwa shida
 
Hukumu ya haramia huwa ni kifungo au kifo haijalishi silaha gani inatumika kwa hiyo mlichokipata ni stahiki yenu ingawa haramia wewe umekuwa dhaifu pigo moja tu ukaisha pole sana mwili unaondoka saa ngapi?
Hapo awali walisema VAR kufungwa kwa Mkapa Simba SC itawaumbua

Baada ya mchezo FT: Simba SC 1-0 Orlando Pirates, sasa wanasema haikuwepo mara ilikuwepo lakini haikutumika.

Tunawakumbusha tu, Simba SC kushinda kwenye game kubwa na kwa timu kubwa ni kawaida kwenye Dimba la Lupaso
 
Msimamizi wa Video Assistant Referee (VAR), Nchini Tanzania, Leslei Liundi akizungumzia kuwepo kwa Teknolojia ya VAR kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, alitoa ufafanuzi matumizi ya mitambo hiyo kuwa VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia refa kinyume na watu wanafikiria kuwa inatoa maamuzi uwanjani.

"VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree na siyo inayofanya maamuzi, maamuzi yanafanywa na Referee, kwahivyo VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree kuona tukio ambao either hakuliona vizuri au alivyoliona sivyo uhalisia wake jinsi ambavyo lilivyo

Kwahivyo wale walioko ndani wanamuita Referee, kwenye ( Video Riview Refaree) na Referee anakwenda anangalia either anajitosheleza kama maamuzi aliyekuwa ameamua mara mwanzo aendelee kubakia nayo au anayabadilisha, na si kwa mambo yote yanayotokea kiwanjani lakini kuna baadhi ya mambo Referee anahusika nayo kuzungumza na watu wa VAR".

NB: Kwahivyo wale wenye mashaka na maamuzi ya refa na kupumua kwa shida na kuteseka moyoni kwamba kwanini refa hakwenda kwenye mtambo wa Video Riview Refaree hili hapa somo kutoka kwa msimamizi na mtaalamu mbobezi wa VAR Leslei Liundi.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Ni sawa lakini pia ata soweto VAR itakuwepo kama geresha kwaiyo atutoitaji malalamiko ya kiumbe chochote juu ya jambo lolote litakalotokea kule,,,wewe unaanza wenzako wanamalizia ndo utamu ulipo
 
VAR haikuwepo Kwa Mkapa. VAR inahitaji camera 33 jamaa walikuja kuchujua posho tu. Wao hawakuja ata na camera Moja, yaani walizitegemea camera nane za Azam tv. Matokeo yake wakakosa video za kumsaidia refa kurejea tukio.
Hovyooooo 👺👺👺👺👺
 
[emoji3] bahati mbaya mmeanza wenyewe wao ndiyo wanamalizia.
Kila timu ishinde nyumbani...
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Mmevuta pumzi ya moto hamna hamu. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Sijui unateseka ukiwa pori gani hilo la misukule?
 
Hapo awali walisema VAR kufungwa kwa Mkapa Simba SC itawaumbua

Baada ya mchezo FT: Simba SC 1-0 Orlando Pirates, sasa wanasema haikuwepo mara ilikuwepo lakini haikutumika.

Tunawakumbusha tu, Simba SC kushinda kwenye game kubwa na kwa timu kubwa ni kawaida kwenye Dimba la Lupaso
Mkuu usihangaike na watu wenye mwiko nyuma

Akili zao haziko Sawa hadi huo mwiko utolewe Kwanza.
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Mmevuta pumzi ya moto hamna hamu. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Sijui unateseka ukiwa pori gani hilo la misukule?
Nyie mtavuta pumzi ya baridi😀
 
VAR haikuwepo Kwa Mkapa. VAR inahitaji camera 33 jamaa walikuja kuchujua posho tu. Wao hawakuja ata na camera Moja, yaani walizitegemea camera nane za Azam tv. Matokeo yake wakakosa video za kumsaidia refa kurejea tukio.
Camera aa Azam tv zilikuwa zinatafuta nini uwanjani wakati Azam hawana haki za matangazo ?
 
VAR haikuwepo Kwa Mkapa. VAR inahitaji camera 33 jamaa walikuja kuchujua posho tu. Wao hawakuja ata na camera Moja, yaani walizitegemea camera nane za Azam tv. Matokeo yake wakakosa video za kumsaidia refa kurejea tukio.
Kwa mujibu wa ng'ombe mmoja wa Mayele.
 
Msimamizi wa Video Assistant Referee (VAR), Nchini Tanzania, Leslei Liundi akizungumzia kuwepo kwa Teknolojia ya VAR kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, alitoa ufafanuzi matumizi ya mitambo hiyo kuwa VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia refa kinyume na watu wanafikiria kuwa inatoa maamuzi uwanjani.

"VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree na siyo inayofanya maamuzi, maamuzi yanafanywa na Referee, kwahivyo VAR ipo kwa ajili ya kumsaidia Refaree kuona tukio ambao either hakuliona vizuri au alivyoliona sivyo uhalisia wake jinsi ambavyo lilivyo

Kwahivyo wale walioko ndani wanamuita Referee, kwenye ( Video Riview Refaree) na Referee anakwenda anangalia either anajitosheleza kama maamuzi aliyekuwa ameamua mara mwanzo aendelee kubakia nayo au anayabadilisha, na si kwa mambo yote yanayotokea kiwanjani lakini kuna baadhi ya mambo Referee anahusika nayo kuzungumza na watu wa VAR".

NB: Kwahivyo wale wenye mashaka na maamuzi ya refa na kupumua kwa shida na kuteseka moyoni kwamba kwanini refa hakwenda kwenye mtambo wa Video Riview Refaree hili hapa somo kutoka kwa msimamizi na mtaalamu mbobezi wa VAR Leslei Liundi.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Kwa hiyo ikizimwa au ikikosekana kunakuwa hakuna wa kumsadia referee..!! Na hivyo maamuzi ya refa yanakuwa ya mashaka kama yalivyo mashaka yenyewe
 
Back
Top Bottom