Lesson learned from Nyamayao and Nyumba Kubwa..........What are your Two cents on this ....!


Hapa mtu anayajua makosa yake ndiyo maana anakimbia kinachonishangaza ni kwamba kesho atarudia tena palepale.Ilishanitokea mimi nilienda hiyo sehemu niliyoambiwa wapo sikuwa na mpango wa vurugu ila tu nilitaka kumwonyesha kwamba hamna anayekusingizia.Lakini walitorokea nyumba ya jirani wakakimbia.
 

hahahah hii nayo moto...hahaha kweli watu tumepitia vikasheshe, na alivyorudi home ikawaje?
 
Mpira ulikuwa mgumu sana, afadhali umeisha tukiwa tumeshinda 1-0.
 
hahahah hii nayo moto...hahaha kweli watu tumepitia vikasheshe, na alivyorudi home ikawaje?


Uso ulikuwa mdogo sana na alijitetea kwamba alikuwa ni mtu anayefanya nae shughuli na kitendo cha mimi kufika pale kimefanya amepoteza pesa nyingi kwa kukosa deal alilokuwa akiongelea na huyo mdada.Maisha yalikuwa lazima yaendelee kwani hakukuwa na kithibiti cha kumtia hatiani moja kwa moja.
 

ni kweli maisha yanatakiwa yaendelee but kidhibiti kipo, y walikimbia?
 
Jibu ni rahisi tu Mj1 huwezi kuwa Nyamayao au Nyumba Kubwa. Hao wako jinsi walivyo kwa sababu ndivyo walivyoumbwa, wewe hata kama utaona mtazamo wa Nyamayao ni sahihi kama umeumbwa tofauti hautaweza kamwe kufanya kama Nyamayao
 

We serious need Christ Jesus in our lives.......................for without Him we will achieve nothing.............John 15:5
 
Amen Ruta aksante sana kwa ujumbe huu murua.

nyamayao na Jomse mmenichekesha sana but angalau nyie mmebahatika kuwapata watu wanaojua thamani yenu..........hadi wanakimbia ............ina maana wanaijua nafasi yako wewe kama mke wake. Kuna wanawake wengine jamani wanaletewa mpaka majumbani kwao, sasa piga picha mwanamke wa aina hiyo awakute Bar, si ndiokwanza watanyweshana kabisa hizo beer ili awaone vizuri badala ya kukimbia??
 
usinikumbushe rafiki nilishapitia hiyo hali na mnyonge wangu alikuwa mwanangu nilikuwa nampiga hasa can u imagine a son of 3 yrs amekataa kunywa dawa unamtandika viboko vya haja sitaki kukumbuka jamani nani kaleta hii post ya machungu namna hii

...kujutia kitendo ulichokifanya ni mwanzo mzuri...pole sana chauro.
 
Hii story imenitoa machozi. Huyu dada ana nini? How can you still love such a person. She think she is not good enough and she does not deserve a better man? Wanawake wengi kinachowasumbua ni low self-esteem; hawajithamini kabisa. Tey think they are made for men to use and abuse.


 
Big House, waswahili hawakukosea waliposema mapenzi ni upofu..........sometimes it is not about self esteem at all and sometimes we may think we understand things clearly while infact we dont. So when I come across stories like this I just keep telling my self that wonders shall never end. Ndiyo dunia yetu na vitu havitokei wala haviko katika mpangilio ambao ni rahisi kuulewa, kwa maneno mengine hakuna universal rule popote pale.
 

kwanza kabisa mwanamke anaekubali kuletwa kwenye nyumba ya mwanamke mwenzie huyo atakuwa sio mzima ubongoni, wanaume wanajua wanawake wa kuwachezea kiac hicho, wengi tumechezewa rough but ya hivi hapana! kwangu? hapo najua tutakuwa tumeshachokana sasa hakuna usuluhishi na hapo lazima niharibu kabisa coz nitakuwa cna mpango kabisa na hiyo ndoa tena, ntawaachia ukumbushe wote wawili!
 
Thank you. Heshima lazima iwepo bana.

 

asante NK....wkt wengine 2nawazia cku akinitwanga ngumi itakuwaje, wengine ndio wanayapitia haya na bado wapo tu! maisha haya bwana!
 
afu ww una tabia! ndo nini kutunyima wenzio kucheka tusahau shida zetu? huyo anaekubana muambie aache uzamani,anabana afu anaachia kidogo.mi naendelea kucheka na kupata uzoefu hapa,hehehe!
my swir....nilibanwa kidogo...nimeshakaribia mpendwa wangu.
 
afu ww una tabia! ndo nini kutunyima wenzio kucheka tusahau shida zetu? huyo anaekubana muambie aache uzamani,anabana afu anaachia kidogo.mi naendelea kucheka na kupata uzoefu hapa,hehehe!

nimerudi king'asti wangu....nilibanwa na mihangaiko kidogo swir!
 
wamama na ndoa zao, jitahidini sana jaman waume wameota mapembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…