Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,585 Reaction score 1,073 Mar 16, 2009 #1 Wadau, Kutokana na msukosuko wa kiuchumi unaoendelea duniani ambao umeanzia huko US na ulaya, je nchi zetu zinazoendelea tunajifunza nini kutokana na mtikisiko huu? Kwani japo haukuanzia kwetu lakini unatuumiza kwa namna moja au nyingine.
Wadau, Kutokana na msukosuko wa kiuchumi unaoendelea duniani ambao umeanzia huko US na ulaya, je nchi zetu zinazoendelea tunajifunza nini kutokana na mtikisiko huu? Kwani japo haukuanzia kwetu lakini unatuumiza kwa namna moja au nyingine.