Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Updates:Oh,I love this.Magufuli awa mfano wa vita ya Corona!Wakati sisi tunamsukumia mbali,wengine wanasema tutampata lini.Kweli nimeamini Nabii hapati heshima nyumbani kwake.

 
Updates:

By Jim Hoft
Published March 3, 2021 at 6:31pm
751 Comments
Share(1.8k)Gab

A new video is going viral in Africa on the COVID drugs.
The video includes several clips of Europeans speaking on eugenics of the African population.

The video ends with Zambian political leader Dr. Nevers Mumba discussing the COVID drugs.

Advertisement - story continues below

Mumba and his colleagues noticed the vials sent to his country are labeled “not for use in the EU or USA.”
They are sending Africa the substandard drugs — and they even labeled it!
The bottles show the COVID drug Remdesivir.

How on this ground and of course many others,can one trust anything,literally anything from the West?One would be a loon and extremely very stupid to do so.
 
Wajinga ndio waliwao wahenga walinena. Ndicho ambacho naweza kuhitimisha katika bandiko na video clips hizo.

Kwa kuwa sina uhakika wa taarifa hizo, tusubiri matokeo ya chanjo kwa nchi jirani zetu zilizoipokea na kuitumia. Ila lililo wazi ni matokeo ya "lockdown" kwenye hizo nchi ambayo yamekuwa hasi kijamii, kiuchumi na kiafya isivyotegewa.

Kwa uhakika msimamo wa Serikali, kwa maono ya kisayansi ya Rais, kuhusu korona na chanjo, ni sahihi kabisa. Miaka ijayo jamii itamkumbuka kuiepusha kwenye maangamizi.
 
Mkuu asante kwa kutambua kwamba kitaaluma Rais wetu yuko 100% correct kuhusu most issues regarding C- 19.Tatizo ni sisi wananchi,tukishaokoteza taarifa fake kutoka mainstream media,taarifa ambazo mimi naziita udaku, tunaona ndizo taarifa sahihi,bila kujua kwamba taarifa zote za mainstream media zina nia ovu.

Mkuu kuhusu effects za chanjo za C-19,mbona kwa wananchi wa nchi ambazo wameshadungwa hiyo chanjo,ambayo kiukweli sio chanjo, madhara tayari yako wazi.Fuatilia Uzi wangu kwa makini,nimeanisha madhara ambayo tayari yameshaonekana.
 
HOAX
 
Everything from the West to you is a hoax,but anything from Africa however bad is true!How can you deny yourself?The only way that can happen is if you are mind controlled,and that I believe is surely the case.
 
Updates:
Tanzania haita-tangaza watu wanaokufa kwa Corona,ni kutisha wananchi na ujinga asema Dr.Mollel!



 
Nimesoma thread yote + comments nimecheka sana lakini pia nimejifunza mambo mengi sana. Hasa kuwapinga wazungu kwa kuwaona watu wabaya kwetu na mwingine kuonekana kuwatetea wazungu. Najiuliza Haya yote yamesababishwa na point ya vaccines ya Corona? Yamesababishwa na uongozi ulio zikataa hizo chanjo?, yamesababishwa na sisi Africa kutawaliwa hapo nyuma?.

nimecheka sana mtu kuwalaumu wazungu kwa kila kitu na kiwaona wabaya kwa kila kitu. Hivi Ni nchi gani inaongoza kwa vifo vingi vya watu kisa corona kama sio marekani na ulaya huko huko kwa wazungu, hivi corona ilianzia wapi na imeenea sana sehemu zipi kama sio huko kwa wazungu ambao tumeamua tuwapige vita.

wazungu wana mabaya yao sikatai hata sisi africa tusisahau kuwa pia sio wakamilifu. Unapo msemea vibaya jiangalie na wewe pia, mtu unajidai kusomesha watu kutuonesha kuwa may be your not idiot nani anaye hitaji kuyajua hayo sasa, wewe unajuaje kuhusu wengine pengine wanaelimu au wamesomesha watoto wao vizuri na zaidi yako wewe. Nimecheka baada ya mada kuhamia kwenye issue personal na kuhamia pia kwenye kumpongeza magufuri. I thought we are talking about COVID-19 vaccine and not magufuri.

hayo ni baadhi ya yaliyo nifurahisha, niliyo jifunza ni kuwa wengi wetu tushaamua kuwachukia wazungu Wakati sio kila kitu ni wabaya, mfano hata hii JF without them sidhani kama ingekuwa rahisi na wewe kutuambia hayo maoni yako,

kuna mdau kaongea point sana halafu umempiga vita kuhusu chanjo na kuwapongeza wazungu kwa baadhi ya vitu. Hakuna mtu mbaya kila kitu hata serikali unayo iona ni nzuri kuna mengine mabaya inafanya, unafikiri watu hawafi kwasababu ya ugonjwa wa kupumua unahisi sababu ni nini kama sio kuaminishwa kuwa Tanzania hatuna corona? Hapo anaye husika ni mzungu?

sitaki kuamini kuwa unaweza kuwa umesoma lakini usielimike 🙏🏾.
 
Nimesoma comment yako mkuu na nimeilewa.Kiukweli sikushangai,uko sahihi kuwaona Wazungu hawana ubaya 100%,kwa mawazo yako unadhani wana ubaya na wema!Sina shaka yeyote kwamba wewe ni mmoja wa vijana mliokulia kwenye utawala wa awamu ya pili,tatu na nne.Hiki ndicho kipindi ambacho Wazungu walifanikiwa sana kufuta Historia yetu na kufanya indocrination by mainly soft power.

Ila naomba niweke hili wazi,sio Wazungu wote ni wabaya,viko vikundi vinavyoitwa "Underground Societies".Hivi vikundi as the name implies, vinafanya mambo yao kwa siri sana,na wameingiza watu wao katika serikali zote za dunia,labda ambapo wameshindwa ni Korea ya Kaskazini tu.Through what is called "state capture" watu wao wanatumia kila mbinu chafu ili nchi zote na wanadamu waendane na agenda zao ovu.

Kwa mawazo yako haya mkuu,wewe ni matunda ya agents wa "state capture." Underground societies ziko nyingi sana, Freemasons, Skull and Bones, Jesuits, Nights of Columbus,Knights of Templar nk.nk..End game yao ni total huma enslavement and domination of humanity na kuleta dini moja,currency moja na serikali moja ya dunia ambayo siasa yake itakuwa Communism,kama China.China is their model,usidhani kwamba ipo kwa bahati mbaya,it is their creation.

Towards achieving total enslavement na domination,wanayo project ya Depopulation of humanity. Yapo mengi wanayofanya ili ku-achieve hiyo goal.Mkuu hivi hujawahi kushangaa kwa nini kwa mfano kuna magonjwa mengi yasiyotibika na matizo mengine mengi duniani ambayo yanaleta vifo.

Hivi huoni kwamba hata visibility imepungua sana,yaani karibu karibu tu hapo unaona kitu kama moshi hivi. Umeshawahi kujiuliza ni kitu gani na kina madhara gani kwa binadamu.Kama hujawahi kujiuliza na hujaona wewe sio mdadisi!

Mkuu nakushauri seriously utafute taarifa na ujue what is happening in this world.Inaelekea wewe ni mzee wa BBC,CNN,Aljazeera,Sky News nk.na hizi media za kwetu, ambazo they are just copying and pasting news from the Western Media.

This is all fake news au udaku.Tafuta news from the Alternative Media,achana na Mainstream media au udaku wa ITV, Azam nk.TBC naona wameamua kubalika baada ya serikali kubaini tatizo, sambamba na ubadilishwaji wa mitaala mashuleni, baada ya miaka mingi ya upotoshaji.Ila ni mlima mrefu sana wa kupanda,sidhani kama tutafanikiwa hasa ukizingatia uharibifu mkubwa uliokwisha fanyika katika kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
 
Updates:
The so called chanjo ya C-19 is infact a bio-weapon.Mpaka lini wanadamu watazinduka na kusema no this genocidal weapon is a billion dollar question.

Look at more evidence of the lethal nature of the shot.
Your browser is not able to display this video.
 

Updates:​

Numbers of Injuries Reported to CDC After COVID Vaccines Climbs by Nearly 4,000 in One Week​

Posted on March 10, 2021by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

Number of Injuries Reported to CDC After COVID Vaccines Climbs by Nearly 4,000 in One Week​


Between Dec. 14, 2020, and Feb. 18, 2021, 19,907 reports of adverse events were submitted to VAERS, including 1,095 deaths and 3,767 serious injuries.

By Children’s Health Defense Team

The latest data made public by the Centers for Disease Control and Prevention’s (CDC)Vaccine Adverse Event Reporting System (VAERS) on deaths and injuries reported after COVID vaccines are in line with trends that have been emerging since the first data were released in December.
Between Dec. 14, 2020 and Feb. 18, 2021, 19,907 reportsof adverse events have been reported to VAERS, including 1,095 deaths and 3,767 serious injuries.
About a third of the deaths reported occurred within 48 hours of vaccination, and48% of the people who died became ill within 48 hours of being vaccinated.

About 21% of the deaths were cardiac-related. AsThe Defender reported last month, the spike protein that the body is instructed to make by mRNA vaccines like those developed by Pfizer and Moderna have the potential to cause microvascular injury (inflammation and small blood clots called microthrombi) to the heart, brain, liver and kidneys in ways that were not assessed in the safety trials.
Of the reported deaths, 966 were reported in the U.S. and 129 outside the U.S. The average age of the deceased was 77.8, the youngest was 23. Of those who died, 53% were male, 46% female and 1% of the reports did not include gender. Of those who died, 56% received the Pfizer vaccine, and 43% got the Moderna vaccine.
The number of serious adverse events reports increased by 641 this week, to a total of 3,767 between Dec. 14, 2020, and Feb. 18. Adverse reaction reports from the latest CDC data include:
By comparison, during the same time period — Dec. 14, 2020 – Feb. 18, 2021 — VAERS received reports of83 deaths followingflu vaccines.
According to theVAERS website, “it is important to note that for any reported event, no cause-and-effect relationship has been established … VAERS collects data on any adverse event following vaccination, be itcoincidental or truly caused by a vaccine. The report of an adverse event to VAERS is not documentation that a vaccine caused the event.”
VAERS is the primary mechanism in the U.S. for reporting adverse vaccine reactions. Reports submitted to VAERS require further investigation before a determination can be made as to whether the reported adverse event was directly or indirectly caused by the vaccine.
As of Feb. 18, 57.74 million COVID vaccines had been administered in the U.S.
On Feb. 27, the U.S. Food and Drug Administrationgranted Emergency Use Authorizationto a third COVID vaccine — theJohnson & Johnsonsingle-shot vaccine. Doses are expected to roll out as early as this week. Children’s Health Defense asks anyone who has experienced an adverse reaction, to any vaccine, to file a report followingthese three steps.
___
Number of Injuries Reported to CDC After COVID Vaccines Climbs by Nearly 4,000 in One Week • Children's Health Defense
 
Leo Denmark wamesimamisha hiyo chanjo ya Asrta Zeneca kwasababu alidungwa mtu mwenye miaka 60 baada ya saa 24 akafa , kwahiyo sio makitu ya kuyakimbilia sana haya , inabidi akili za kuambiwa unachanganya na zako sio kila unachoambiwa ukubali
 
Leo Denmark wamesimamisha hiyo chanjo ya Asrta Zeneca kwasababu alidungwa mtu mwenye miaka 60 baada ya saa 24 akafa , kwahiyo sio makitu ya kuyakimbilia sana haya , inabidi akili za kuambiwa unachanganya na zako sio kila unachoambiwa ukubali
Hizi ndizo akili mkuu,hongera sana.
 
Updates:
Denmark and some other EU nations pauses the mRNA shot amidst many complications and deaths associated with the shot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…