let me knw plz, i wrote a letter 4 postponment last year at st.joseph thy ddnt gv a reg no

let me knw plz, i wrote a letter 4 postponment last year at st.joseph thy ddnt gv a reg no

Ray 4real

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
16
Reaction score
4
i wrote a letter 4 postponment last year at st.joseph thy ddnt gv a reg no. instead wanadai niwapatie admmission no. ili waniregiste, hivi admmision no inatolewa na chuo au inapatkania wp? cz wamenambia niende net nika surch ndo nitaipata . naombeni msaada wenu cz muda nao ushaisha sn
 
Kama ulitumia lugha ya kizungu na kukosea words kama hapo juu na kusoma kama ambavyo haujajieleza kwa maneno yanayotakiwa as hapa sio ktk kutuma sms kufupisha kusevu pesa basi mmmmhh
 
Ckupewa maelezo yyte ya kujisajili, lkn nili ahirisha mwk kw kuandka barua na ikapitishwa na administrator(Recommended), nikarud mwk huu ili niendelee na chuo, administrator akadai reg no. Nikamtell sina akasema siez kukupokea, xo nikarud main cumpuss mbez, wakawasiliana na admnstr wa songea kwa kihindi, majb niliopata nikaambiwa nirud songea ila niwe na admission no.. Nikauliza ntaipata vp hio admn no? Wakasema niende net nikatafute list ya waliokua selected mwaka jana ntaipata, i tried several tymz bt hakuna kitu kiukweli, SWALI.. Admission no ya mwanfnz anaitoa nani, mwanfnz mwenyewe au chuo ? Msaada wadau.
 
Unapewa na chuo during registration..! Ipo kwenye kile kicard cha kijani(for SJUIT) unachopewa during registration
 
Back
Top Bottom