Ckupewa maelezo yyte ya kujisajili, lkn nili ahirisha mwk kw kuandka barua na ikapitishwa na administrator(Recommended), nikarud mwk huu ili niendelee na chuo, administrator akadai reg no. Nikamtell sina akasema siez kukupokea, xo nikarud main cumpuss mbez, wakawasiliana na admnstr wa songea kwa kihindi, majb niliopata nikaambiwa nirud songea ila niwe na admission no.. Nikauliza ntaipata vp hio admn no? Wakasema niende net nikatafute list ya waliokua selected mwaka jana ntaipata, i tried several tymz bt hakuna kitu kiukweli, SWALI.. Admission no ya mwanfnz anaitoa nani, mwanfnz mwenyewe au chuo ? Msaada wadau.