Japo kuwa SQL is an ANSI standard, bado implimentation yake katika DBMS inatufautiana. Utofauti wake ni katika baadhi ya comand lakini siyo zile basics kama SELECT, UPDATE, DELETE, INSERT, WHERE. Hizi zote ni sawa. Kuna comands nyingine ambazo hata hazimo kwenye ANSI stand or SQL 1992 zimekuwa implimentated na specific DBMS.
Utofauti mwingine ni capacity of server engine. MySQL ni nzuri lakini katika operations kubwa hawapengelei sana, mara nyingi ni SQL server pamoja na rafiki yake sybase SQL Server, Oracle etc.
Tofauti nyingine ni uwezo wa kufanya programming katika hizi platform ukizingatia kuwa SQL is not a programming language. Kwa hiyo utakuta Oracle anatumia PL/SQL na SQl server anatumia T-SQL. . Halafu unaweza intergrate .NET kwenye SQl server kitu ambacho kwenye Oracle hakipo hasa ktk kudeal na complex calculation.
Kitu kingine ni compatibility with programming languages. utakuta Mysql wanaiva vizuri sana na PHP, wakati Oracle na Java mambo yao pia ni poa sana. Ukija kwa ngudu yetu Sql server na .NET platform pia mambo si mabaya.
Tusisahau pia mambo ya leseni, kwani hili swala la open source nalo linamata. Piatusisahau uwezo wa server katika kuhimili distributability na zina offer tools zipi , mfano oracle replication technology no bomba sana. etc.
asanteni kwa machache.