Let your husband be your best friend you will be happy

What i can say is 'YOU ARE WISE'!
 
Especially when your husband needs you as a friend.Lol. Wanaume wengine kutwa wamezungukwa na washkaji....utapata wapi nafasi ya ku-m-befriend? This is why I consider myself lucky.

Umemaliza! Hawezi akawa best friend wako halafu anakaa na kina Asprin na Bigirita bar hadi saa nane usiku. Akifanya mchezo kama sio jf, basi walau fesibuku watakuwa best friend wako, that is kama wakina Bishanga watashindwa kukushawishi.
 
Last edited by a moderator:
Jifanye celebrate utakuwa celebrity,mfanyabiashara utakuwa mfanyabiashara.dream positive .
 
Rubbit cleaner .mpende akupendae weekend njema
 
..Hongera zako NK...ni raha sana kuwemo katika ndoa kama hiyo...wazushi hawakawii kusema yule mume wa NK si bure labda kishalishwa vya kulishwa kumbe ni bahati yako tu...Bahati ya mwenzio....


Especially when your husband needs you as a friend.Lol. Wanaume wengine kutwa wamezungukwa na washkaji....utapata wapi nafasi ya ku-m-befriend? This is why I consider myself lucky.
 
Last edited by a moderator:
natamani iwe hivyo lol lakini best friend wengine na wife mwingine tehteh
 
uliposema ku feki nikafikiri unawashauri kina wafeki mamboz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…