Leta mayai tuyatotoe kwa machine

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Tuna machine za kisasa kwa ajili ya kutotoa vifaranga vya kuku,kware na bata aina zote.
Tupo Dar es Salaam, Tabata segerea.
Mawasiliano ni
0763976292.
Bie ya trei ni nafuu sana.
Wai mapema
 
Na mayai ya kienyeji pia mnatotolesha? Weka na bei kwa trey no shilingi ngapi
 
Tuna machine za kisasa kwa ajili ya kutotoa vifaranga vya kuku,kware na bata aina zote.
Tupo Dar es Salaam, Tabata segerea.
Mawasiliano ni
0763976292.
Bie ya trei ni nafuu sana.
Wai mapema

Tabata segerea sehemu gani mkuu? mi nahitaji na ni mkazi wa huku huku badala ya kwenda interchick!
 
Bei nafuu bei gani hiyo??wekabei
 
Mayai special ndio yapi? Je haya yanayouzwa dukani ya kukaangia chips hayafai? Hayo special yanauzwa wapi na bei zake zikoje?
 
Inachukua muda gani mpaka hayo mayai yatottolleshwe? :glasses-nerdy:
 
Kuna changamoto ya wizi.wa vifaranga sana.sijui.mmejiandaaje .kwa hili trei inaweza toa wote thelathini.mteja akaambiwa zimetoka 20 mbaya mkaweka mayai tukifika hme n viza ..
 
Mayai special ndio yapi? Je haya yanayouzwa dukani ya kukaangia chips hayafai? Hayo special yanauzwa wapi na bei zake zikoje?
Anaona.nikusaidie.kakimbia..ana.mfunngo..mayai ya kutoa vif n yale yenye sikusab a tangu yatolewe dunian..so kama unakuku ametaga leo hiloyai safi kutotolea.ndanu ya sikusaba sikuya nane hilokalie chps na.wanafunzi@pdidy ktk ubora wake
 
Inachukua muda gani mpaka hayo mayai yatottolleshwe? :glasses-nerdy:
Muda utakuwa ule ule sidhani kama kuna teknolojia ya kupunguza muda wa incubation

https://en.wikipedia.org/wiki/Egg_incubation

Incubation periods for birds

[TABLE="class: wikitable, width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Bird[/TH]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Incubation Period (days)[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chicken[/TD]
[TD="align: right"]21–23[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Duck[/TD]
[TD="align: right"]27–28 Muscovy duck 35[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Eagle[/TD]
[TD="align: right"]44-46[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Finch[/TD]
[TD="align: right"]11–14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Goose[/TD]
[TD="align: right"]25–28[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ostrich[/TD]
[TD="align: right"]35–45[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Parrot[/TD]
[TD="align: right"]16–21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pheasant[/TD]
[TD="align: right"]24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pigeon[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Quail[/TD]
[TD="align: right"]16–21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Swan[/TD]
[TD="align: right"]33–36[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Turkey[/TD]
[TD="align: right"]29[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwa urahisi hii semeni tu kwamba mnauza vifaranga..., sababu mnaweza kupata hasara mtu analeta mayai ambayo sio mazuri au ambayo hayapo fertilised au yamekaa muda au hayakuwa handled vizuri..

Hio ni recipe ya kuleta ugomvi ambao hauna msingi mtu atadai alete mayai mia apate vifaranga mia ukizingatia kwamba hatching rate ya 100% ni almost unlikely
 
Kuna changamoto ya wizi.wa vifaranga sana.sijui.mmejiandaaje .kwa hili trei inaweza toa wote thelathini.mteja akaambiwa zimetoka 20 mbaya mkaweka mayai tukifika hme n viza ..

ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…