Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Leo mchana niko mitaa fulani napata lunch, mara jamaa wa red rubegas akaingia akakaa karibu na mtanashati mmoja hivi nakaula pilau yake.
Mwenye red rubega kamwambia mhududmu lete kama anachkula jamaa mtanashati.
Muudumu kwa kuzingatia hawa jamaa ni wabishi akataka kuhakikisha akamwuliza "Yero umesema chakula gani?"
Jamaa akajibu, " Mesema letia kama hii anayokula rasiki (rafiki)" huku akitoboa pilau ya jamaaa mtanashati na rungu.
Jamaa mtanashati kuona hivyo akahamaki na kukasirika huku mishipa ya kichwa imemtoka akamwuuliza " vipi wewe huna ustaarabu utawekaje rungu lako kwenye chakula changu?
Red rubega akamwambia " yero we naona kijicho kula kama hii (huku akitoboa tena na rungu) ama iko damu mbaya nachesa ndani ya kichwa yako nisaidie kuondo saa hii huku akipigapiga rungu kwenye kichwa cha muungwana( maana mishipa ya kichwa ilikuwa imemtoka muungwana)
Ilibidi jamaa aondoke na njaa yake maana hakufanikiwa kula chakula chake tena.
Weekend njema.