MoneyMakerTz
Member
- May 22, 2018
- 32
- 12
ok mkuu shukrani kwa maoni yako.imesimama hatari kama ya mhindi upanga,subiria wadau walengaji.
Sawa boss endelea na bajaj yako hakuna shida.Hivi hiyo odometer huko mbali inasomeka kweli ukiwa unaendesha?
Mi hapo naona itanisababishia matatzo tu ngoja nikomae na hii bajaj yangu
Haijapigwa rangi hiyo gari ni rangi yake ambayo imekuja nayo.gari nzuri.. tukiacha wale wanaopenda namba mpya.. na kama haijapakwa rangi naiona iko poa sana
hii body na rangi ndio iliyokuja na gari au umepaka mpya kuvutia wateja?
Haijapakwa rangi bali imepuliziwa rangi.hii body na rangi ndio iliyokuja na gari au umepaka mpya kuvutia wateja?
Duhhhh!!!Haijapakwa rangi bali imepuliziwa rangi.
kuna gari nyingine ninayo.kwa nin unaiuza?
Nakupa 5ml km uko tayari ni pmkuna gari nyingine ninayo.
Hela yako ina thamani kubwa boss ila kama upo serious ongeza tufanye biashara.Nakupa 5ml km uko tayari ni pm
WAKUU GARI BADO IPO KWA ANAEHITAJI AJE KUKAGUA GARI JANA KUNA MTEJA ILIBIDI AKAIFANYIE MALIPO ILA AMEPATWA NA MATATIZO KARIBU KUJA KUNUNUA GARI ASANTENI.Bei 6.8m Ipo dsm mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0659299667
Mungu akijalia biashara inafanyika kwa hii gari leo mchana nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kweli mkuu nilifanya makosa kusema hivi mkuu nawaomba sana radhi kwa hili.Mkuu usikimbilie hitimisho kabla ya mhitimishaji kuhitimisha!!!