Leteni sababu zenu mapema, kama endapo Yanga atashinda mbele ya Mamelod Sundowns

Leteni sababu zenu mapema, kama endapo Yanga atashinda mbele ya Mamelod Sundowns

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile

kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.

Leteni sababu mapema.
 
Karibuni sana muwahi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile

kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.

Leteni sababu mapema.
 
Fri
IMG-20240312-WA0905.jpg
 
Kweli waje waseme mapemaaa.

Maana naona kabisa mamelodi anakufa home and away.

Alichokutana nacho kwa mazembe kwenye group stage. Yanga tunaenda mpa mara 5 yake
Kabisa mkuu
 
Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile

kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.

Leteni sababu mapema.
Anadhaminiwa na GSM🤣🤣🤣
 
Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile

kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.

Leteni sababu mapema.
Mpira siyo mdomoni ni uwanjani kwa dakika 90
 
Utaskia mamelod nae ni mbovu tu.
Mara motsepe kamwachia mshikaji wake hersi.
 
Back
Top Bottom