Anadhaminiwa na GSM🤣🤣🤣Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile
kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.
Leteni sababu mapema.
Mwakarobo hapendi kauli kama hiiYanga anaenda Fainali, tunza hii comment.
Mpira siyo mdomoni ni uwanjani kwa dakika 90Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile
kwamaoni yangu yanga anaenda nusu.
Leteni sababu mapema.