Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
From book of john
Inspired by dune, frank Herbert
Are you ready,
Bado maamuzi ya lugha itakayotumika ndio changamoto,
Kiingereza kikitumika, waswahili watabaki nyuma lakini kiswahili kikitumika Dunia itabaki nyuma,
Inakuja baada ya miaka mia tano ya kuzaliwa Kwa masihi,
Itabadili mtazamo na historia ya dini ya ukristo na uislamu, watakaobaki nyuma, watakachokutana nacho ni ishara, maana ndio hufuata baada ya somo,
Mungu na yesu kristo watanyang'anywa kiti Cha enzi, mbingu zitafungwa, mnyama atafufuka baada ya kukaa kifungoni Kwa muda mrefu, Asili na sayansi vitaridhi ufalme wa ulimwengu, no otherworldly
Dhambi ya asili itahama kutoka kwenye uongo na kuwa ujinga,
Maisha, historia na asili vitatambulika Kwa njama, uzuri wa kipepeo mbele ya mende utafika tamati,
Buibui ataridushiwa nyumba yake,
Kitabu hiki Cha ufunuo kitawafikia kupitia Kwa mtakatifu Leto wa kwanza,
Utaharibu mtazamo wa kidini na historia, kila mtu atajiona mwenye dhambi Kwa kuwa na ujinga,
Got ist tot