Let's assess safety ya Ikulu with Ferry, Fish Market, Kituo cha rapid transport




Jaxx on a serious note bila utani yale maeno as much as unasema ni ofisi ya rais, kwa upande wa usalama kama kuna mbaya ana nia mbaya na Ikulu that is a very convienient spot kupanga mashambulizi maana pako very busy na ni karibu na hayo makao. Apangae mashambulizi hapangi on the exact spot bali maeneo ya pembeni.
 
Ni kwamba Mwl nyerere aliacha mpango wa Dodoma. Moja ya reason y Dodoma ilikuwa secutity Nyerere na hazina hawakuwa na mshiko wa kutohsa kipindi hicho ndo maana alisua sua kuhama . Sasa cha ushangaza waliofuta baada yake mabishooo. hawajali usalama wao wanataka waione kempiski ndo wanajijua wao ni marais.

Sasa hata zile wizara 6 zilizohamia Dom zimesharudi dar.
 
Seriously....

Sielewi kabisa... maybe i am paranoid
 
nasikia tanzania watu wa uwt ni engi sana,wakiwemo wavuvi,madereva teksi,"vichaa",kwahiyo inawezekana hao uwaonao huko ferry wamejaa wengi wao ni watu wa uwt,usihofu mkuu yupo salama kabisaaaaaaaaa
 

Huyu bwana anauliza wataalamu, ila hajabainisha ni wataalamu wa nini, mipango miji. usalama au.................!
 
"kwa upande wa usalama kama kuna mbaya ana nia mbaya na Ikulu that is a very convienient spot kupanga mashambulizi maana pako very busy na ni karibu na hayo makao."

Tunapoteza miela mingi katika usalama wa Ikulu (UWI) ambao tunaita usalama wa taifa (UWT) lakini ni kiumbe gani mwenye akili timamu hata kichaa duniani atakuwa na nia ya kuishambulia Ikulu - ili iweje, ili apate nini?:A S 103: Hiyo mipesa ielekeze kuwanunulia watoto madawati na kuwapa elimu bora na Mungu atawapa thawabu!!!!!
 
tupe taarifa zaidi, kuna mtu au kikundi cha watu ambao unajua wana nia ya kufanya mashambulizi? In case of confidential info, just PM me please.
 
Mh! humu ndani nako saa zingine tunakurupuka kuchangia hoja bila kuangalia mwenye hoja kasema nini. Pale ferry sometimes kunakuwa na magari mengi sana hata kama siyo 400 ni mengi sana.
 

Security ya nini wakati rais mwenyewe aliiba kura?
 

ukijifanya kujua sana mwisho wake ni kubofoa!
 
Hii inaonesha umuhimu wa kujenga haraka daraja la kigamboni. Ukiacha msongamano, hata harufu ya samaki inaweza kuwa kero kama kuna ishu inafanyika ktk bustani ya ikulu kama wakati alipokuja Bush. Daraja likijengwa, itabidi soko lihamie upande wa kigamboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…