Assumption lazima iwe na application mkuu..assumption yako inaapply wapi?
Maisha yatakuwa magumu bila mwanamke, awepo mrembo mmoja wa kufarijiana naye. hukumbuki Mungu alichofanya wakati anaumba dunia?
Sio lazima mkuu, ndo mana wanafizikia na hata wachumi wana term inayoitwa "teteris peribus".
Teteris peribus seems a new term to me..au ndo joke yenyewe ..lol.
Ceteris peribus assumption inatumiwa nadhani ktk kuipima tukio kwa kutumia isolated test kwa kudhania kwa makusudikuwa hakuna factor ingine inayo-interfere tukio hilo.
Lakini mwisho wa siku lazima assumption iwe na matumizi..
Habari ndo hiyo.
Kuna aina nyingi za kazi, moja wapo ni 'mental jobs'.
Kitendo cha wewe kufikiri na kutoa jibu katika hii assumption au chemsha bongo ni some sot of mental job.
Kwa namna moja ama nyingine hii assumption itakua imefanya idle mind iamke au itumike, kungekua na kipimo cha kupima wear out ya brain, nadhani ingeonekana; si ndio ulikua unataka matumizi?
Aaah..basi bana ..
Aaah..basi bana ..
Umeamka asubuhi, ukakuta binadamu wote duniani wamekufa au hawaonekani, na umebaki peke yako.
Redio na mawasiliano ya cmu hayafanyi kazi,kwani operators nao wame collapse.
Chakula na chochote unaweza pata kwani hakuna wa kukuzuia ukienda super market.
Inapita saa, siku wiki, huoni mtu.
Je na wewe utajiua au utaendelea kuponda raha kwa kula vizuri,kuangalia movie na kusikiliza miziki mikubwa?
maisha yatakuwa magumu bila mwanamke, awepo mrembo mmoja wa kufarijiana naye. Hukumbuki mungu alichofanya wakati anaumba dunia?
Mh! Inatisha!!Hata akishuka mrembo wa dunia bado kutakuwa na harufu ya maiti, hamna raha hata kidogo
Nadhani hata TANESCO hawatakuwepo, nani anaoperate huo umeme?:confused2:Umeamka asubuhi, ukakuta binadamu wote duniani wamekufa au hawaonekani, na umebaki peke yako.
Redio na mawasiliano ya cmu hayafanyi kazi,kwani operators nao wame collapse.
Chakula na chochote unaweza pata kwani hakuna wa kukuzuia ukienda super market.
Inapita saa, siku wiki, huoni mtu.
Je na wewe utajiua au utaendelea kuponda raha kwa kula vizuri,kuangalia movie na kusikiliza miziki mikubwa?