mtata mtatuzi
Member
- Jul 29, 2011
- 44
- 10
Vizuri kama umefikiria hivyo. unafikiria biashara gani sasa mdau? Nakuahakikishia ukiwa serious utatoka ndani ya muda mfupi
mimi niko drc,nimependa thread yako nikija bongo nitakutafuta
Mbona kama utani au ni uelewa wangu mdogo
ukickia kulizwa ndo huko.nipo mtaan
morogoro,kama kuna yyte aliye interested na kufanya kazi na mimi hususan
biashara,tuchange mawazo tusake fund tuanze hima hima biashara au
shughuli yetu wenyewe. mawazo ni mengi sana hapa kichwan kwangu, na
kinachonipa taabu ni kipaumbele tu...najua lazima wapo watu kama mimi.
naomba tuwasiliane,changia via this thread afu nikusake tuanze shuguli,
noo,,KAZI
ukickia kulizwa ndo huko.