Lets beware of Persecution

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Persecution: Hostility and ill-treatment, especially on the basis of ethnicity, religion, or sexual orientation or political beliefs.

My motto always ni to each his / her Own - Sitaki kujua wala sihitaji kujua imani ya mtu na anafanya nini wapi au kwanini - Tukiwa pamoja kwenye public sheria zipo na mambo yanaenda kwa Sheria na Adhabu kama tulivyojiwekea kama Jamii.....

Sasa mtiririko unavyoelekea naona kama kuna hatari ya watu kuanza kuchukua sheria mkononi na kuwa (A Judge, Jury na Prosecutor), tusipoangalia tunaweza tukarudi au kwenda kipindi kile mtu anapita na sketi yake sokoni (kwa mtizamo wa mtazamaji / watazamaji) wanaweza kuona mtu huyu amekiuka maadili na kumzomea au kumvua hizo nguo....

Anaweza akapita dada amenyoa nywele fupi au ana muonekano wa ki-masculinity watu wakamdhania vinginevyo (na kwa mujibu wa Imani zao wakaona kwamba ndio anatuletea majanga) wakapeleka kumzomea na kumu-harass....

Natoa tahadhari hali hio huenda ikawa hatari zaidi...; Kwa kumalizia Nakumbusha (Sidhani kama kuna Imani inayoruhusiwa ku-hukumu) na Kama nchi tuna sheria na hakuna mtu / institution moja iliyopewa madaraka ya kuwa Judge / Jury na Prosecutor kwa wakati mmoja (and that was done for a reason)
 
vipi wanayofanya wanasiasa!? ufisadi/kutumia hela za umma wanavyotaka wao!
Hao hawawezi wakaguswa sababu ndio wana-set the agenda na propaganda watahamisha story iende pasipowagusa (iwe ni mabeberu au vijana ni wavivu ndio maana hakuna ajira) ; au Mungu ametulaani ndio maana maisha magumu na sio kwamba wameshindwa kazi...

In short ukiamua huwezi kukosa sababu after the fact....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…