Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Wakurungwa
Tanzania bado tunajiweka nyuma sana katika maswala ya kimataifa wakati enzi za Mwalim Nyerere tulikuwa frontier katika Ukombozi wa Afrika dhidi ya Mabeberu ambao wanapoka uhuru wa Afrika wenzetu.
Now Days we remaining silence wakati bado nafasi ya kubwa ya kuwa mpatanishi na msuluhishi katika masuala ya kimataifa inatupa asilimia kubwa do we need US kutuambia Jambo gani Ni sahihi?We are peaceful country why we shouldn't have Contribution over the world peaceful???
Nakumbuka juzi tu,tulitoa takribani bilioni 2 kwa turkey kuonyesha sympathy kwa nature disaster achilia mbali Malawi msaada wa mahindi.
#Let break these silence