Let's fall in LOVE

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Warembo wa JF, natafuta mpenzi for a long lasting relationship. Mwenye sifa zifuatazo atapewa kipaumbele:

Education: Above form 6

Sura: Awe na sura ya kike

Rangi: Mweupe wastani

Body: Awe na sex body and a bit makalio (asiwe mwembamba sana kiasi kwamba hashikiki)

Tabia: Awe na tabia za kike na heshima.

Any one who is lonely, living in Dar and interested to fall in true love is welcome. you can PM me!
 
longlasting halafu sura ya kike,akizeeka unamwacha??
 
hivo vitu red sina mkuu pia nataka wa shorttime relationship
 
a day a week , month ,year, decade. millenium, forever, infinity just choose one

A year may be. Ila kitu kimoja, umesema huna sura ya kike. then which sura do you have?
 
ahh wew jaman uyo mtu MDORI?
ku fall in love wala akuzingatii vgezo ivyo...na auwez ukadeclare NATAKA NIFALL IN FALL...

una miaka mingap beb?
 
ahh wew jaman uyo mtu MDORI?
ku fall in love wala akuzingatii vgezo ivyo...na auwez ukadeclare NATAKA NIFALL IN FALL...

una miaka mingap beb?

mi nadhani vigezo vinahitajika. No one can fall in love with anyone. kila mtu kuna vitu anavyovipenda and mine are those ones.
 
so u a conclusion?

Mbona wanawake wanapotongozwa huwa wanawasumbua wanaume. Nipe na mimi muda kidogo wa kujivunga. unajua kukubali moja kwa moja dhambi. Let me say ............................. ngoja nifikirie!
 
Mbona wanawake wanapotongozwa huwa wanawasumbua wanaume. Nipe na mimi muda kidogo wa kujivunga. unajua kukubali moja kwa moja dhambi. Let me say ............................. ngoja nifikirie!
ooh for how long? nakufa kwa kuwait am sirias oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…