Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Apr 8, 2023 #1 Eritrea Imefikia hapa!, niliwahi kupita hapa kitambo, hii nchi inawanawake wazuri mno wanaoweza kukusababishia infatuation!
Eritrea Imefikia hapa!, niliwahi kupita hapa kitambo, hii nchi inawanawake wazuri mno wanaoweza kukusababishia infatuation!
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,625 Reaction score 8,639 Apr 8, 2023 #2 Kama ni uzuri hata huku wapo Karatu, Kondoa na Singida, japo ni wachafu wa tabia Sasa huko Wana tabia njema? Kwamba tukiwaoa hawatatusumbua?
Kama ni uzuri hata huku wapo Karatu, Kondoa na Singida, japo ni wachafu wa tabia Sasa huko Wana tabia njema? Kwamba tukiwaoa hawatatusumbua?