Sasa wewe ukipiga kitu cha swimming costume na chura yotee hiyo!Yani hili joto linanifanya niwaze swimming toka asubuhi tatizo sina swimming costumes [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe ukipiga kitu cha swimming costume na chura yotee hiyo!
Si utawasababishia wenzio matatizo!
Wasamehe!
Dah umemiss tukioo mkuu..Yani hili joto linanifanya niwaze swimming toka asubuhi tatizo sina swimming costumes [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure i will...Special offer au sio..... Ikija part two yake nishhtue
Hapana kwa hapa Tulipokuwepo hawaruhusu diving...ingawa ngazi zipo mkuuAsante Mkuu. Vipi mna ile ngazi au stage ya kuruka juu mpaka kwenye Swimming Pool
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]na usiende mwaya atasingizia chura ndo imekuzamisha
[emoji23][emoji23][emoji23]na fursa kama hzi hawazichezei,,vp lkn dada hukumuonjesha ata kidogoshoga..niliwah kwenda beach..nikakutana na mkaka.kama huyu...akasema anifundishe kuogelea ingawa nnajua kidg tumefika kina kikali mwenzangu kadisa zaman sana...ufukweni wapo wanangu na dada[emoji23][emoji23][emoji23]...yaan sitak kbs.. nikamwambia nirudishe najisikia pumu inakuja[emoji23][emoji23] hapo dudu lote linanichoma choma mgongoni[emoji4][emoji57][emoji57][emoji57]..sitak bibi weee nenda unipe mrejesho[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]na fursa kama hzi hawazichezei,,vp lkn dada hukumuonjesha ata kidogo
๐๐๐๐๐๐nilipanick sana yaan