Lets know women deeply. . . .

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
278
One person once said 'The thinnest title in this world is on what men know about women'. Akimaanisha kitabu chenye kurasa chache zaidi kile ambacho kinaeleza wanaume wanajua nini kuhusu wanawake!

Lengo hapa ni kujua hasa ni mambo gani ambayo mwanamke akifanyiwa na mwanaume ataona amethaminiwa na kupendwa! Ikumbukwe wakati wanaume tunakuwa touched by materials things, to our counter parts matters affecting heart, quality and feelings matter!
Kwa kauchunguzi kidogo nlofanya haya yanahusika.
1. She needs your attention! Iwepo tofauti kati yake na other staffs eg mpira, gari, gazeti, net, tv etc

2. She needs your recognition. Proper one! Unamtambulishaje kwa ndugu na marafiki? How do u treat her in public?

3. She needs to be listened! Unamskiliza? Anaweza akawa na kastori kake ka kimbea, unapompotezea amwambie nani?

4. She needs assurance of your protection. Financially and physically.

5. Suprises and gifts. These work out a lot. .

Waweza kuweka vile vitu ambavyo kweli women appreciate! . . . . . Naendelea
 
apana..ata ayo uliyoyaandika yanaweza kukubalika kwa mage lakin joyce asiyakubali na akawa na mahitaji yake mengne n hence u canconclude i know her....

kila mwanamke anacho anachokipenda.taka afanyiwe na kikaptula chake....



mimi napenda kugombezwa ata km sjakosea.....lakin asha apend kugombezwa ....anapenda kubembelezwa....u c....:scared:
 

Yote tano uliyoandika kuhusu wanawake ni kweli hata mie nimeshayaona. Naongeza moja:
--Atavaa nguo na kujizungusha mbele yako. Anataka kusikia maneno mawili tu toka kwako ili moyo wake ufurahi. Maneno hayo ni: UMEPENDEZA SANA. Ukishasema hivyo atacheka na kwenda kwenye kioo kujihakikishia. Usimnyime mkeo, mpenzi wako maneno hayo.Ni almasi kwao.
 



mhh i wonder
:cool2:
ata km ajapendeza kweli....?umwambie tu umependeza?sasa utakuwa unampenda kwel?:bump2:
 

Angalau kuna machache yanaweza kuwa common. . .
 
Unaweza ukamnunulia gari kumbe ye alitaka umtengenezee jiko vizuri, au ubadilishe furnitures
 
Suprises and gifts. These work out a lot. .
mi wa kwangu mbona atajuta suprise ndo majitu gani hayo:attention:
 
 
mhh i wonder [/COLOR][/SIZE]:cool2:
ata km ajapendeza kweli....?umwambie tu umependeza?sasa utakuwa unampenda kwel?:bump2:

Hapo sasa. .
Unamsifia mtu alafu anaishia kuchekwa nje!!

Missed you Rose. . umepotelea wapi?
 
mhh i wonder [/COLOR][/SIZE]:cool2:
ata km ajapendeza kweli....?umwambie tu umependeza?sasa utakuwa unampenda kwel?:bump2:

U must be honest! Kama hajapendeza mwambie tuu, mama hebu rekebisha kidogo
 
mhh i wonder [/COLOR][/SIZE]:cool2:
ata km ajapendeza kweli....?umwambie tu umependeza?sasa utakuwa unampenda kwel?:bump2:
.
Unaanza kumwambia umependeza ila una-konkluud kama hivi: "pamoja na kupendeza baby hilo wanja umezidisha na hiyo nguo sio ..." Always be positive to them, coz wao hata uongo wanaupenda..
 


Haaahaaa! But I know we can't do much without them...they make a big part of who we are!
 
Haaahaaa! But I know we can't do much without them...they make a big part of who we are!

Thats y we have to know them in deep. . . The bible says you should live with your wives wisely
 
.
Unaanza kumwambia umependeza ila una-konkluud kama hivi: "pamoja na kupendeza baby hilo wanja umezidisha na hiyo nguo sio ..." Always be positive to them, coz wao hata uongo wanaupenda..

Very concilliatory . . . Utadhan UN representative for certain peace keeping program in Somalia. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…