Let's makes a wonderfull couple

Upepo wa pasaka na eid ukipitia hizi bango zitapungua tu
 
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo

Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,

Asanteni
Mkaka mstaarabu ndio mkaka wa aina gani? Ustaarabu unautafsirije? Nijibu hapo ili nione kama nafit kwenye vigezo.

😎
 
Mweusi tii au kawaida
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo

Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…