Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
KKN, unaweza kama SAF kutaka kumsajili mchezaji au wachezaji ambao hawataki kwenda MANU, hapo ndiyo itakuwa ngoma. Wachezaji wanaweza kufikiria kwanza aliondoka Beckham, kwa kutokuwa na uhusiano mzuri na SAF, halafu Ronaldo na Tevez naye kishatishia. Hapo wachezahi wengine wanaweza kuingia mitini kama SAF akiamua kuwasajili.
Mweleze huyo!Chuki yako kwa Ferguson na Manchester United itakuua...
KKN, unaweza kama SAF kutaka kumsajili mchezaji au wachezaji ambao hawataki kwenda MANU, hapo ndiyo itakuwa ngoma. Wachezaji wanaweza kufikiria kwanza aliondoka Beckham, kwa kutokuwa na uhusiano mzuri na SAF, halafu Ronaldo na Tevez naye kishatishia. Hapo wachezahi wengine wanaweza kuingia mitini kama SAF akiamua kuwasajili.
KkN, Ningekuwa SAF ningefanya hivi...
Nunua: David Villa, David Silva, Benzema (achemse bench) Yaya Toure, Essien.
If Ribbery angekuwa cheap kiduchu, naye angekuwa option lakini hii habari ya Bayern kutaka £60m, ni upuuzi
THEN: Uza/toa loan akina Park, Bebartov na Carrick. Nani has potential, could be tested one more season na apewe vijimechi kadhaa
so RONALDO ni ugonjwa wa MOYO sana kwa wana MANU au? duh! Mlishafanya ndoa nini? DESPOTIVE LISBOA fans walilia sana BT KISU KIKALi kilimsepesha THERE, MSISIKITIKE JAMANI ndio FABO na MAHELA NDO KAZI YAKE, mchukieni FLORENTINO PEREZ' THE CAPITALIST'
Kwa ridiculous- crazy prices zilizopo sokoni kwa sasa, sidhani kama £80m inatosha kuwanunua hao wote Sinyolita.Nunua: David Villa, David Silva, Benzema (achemse bench) Yaya Toure, Essien.
Kwa ridiculous- crazy prices zilizopo sokoni kwa sasa, sidhani kama £80m inatosha kuwanunua hao wote Sinyolita.
80£ + (hela itakayopatikana baada ya kumuuza Park, Carrick, Andersson (?) na Berba.
Swali ni aje...hao tajwa hapo juu kuna mtu anawataka?
Ungekuwa Fergie ungewauza kwa bei gani kila mmoja?
Park: £11m (huwa anaotea japo vijimagoli vya hapa na pale)
Carrick: £8m
Andersson: £10m
Berba: Hapa mgogoro. Ningewaomba Spurs warudishe japo 3/4 ya ule mshiko waliochukua then wamchukue...
Au wewe unaonaje hapo..fair prices?
sisi tunaweza kumnunua anderson au carrick.waekeni sokoni muone.80£ + (hela itakayopatikana baada ya kumuuza Park, Carrick, Andersson (?) na Berba.
Swali ni aje...hao tajwa hapo juu kuna mtu anawataka?