Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
- Thread starter
-
- #21
Kwa mwendo huo £80m itakuwa haitoshi manake naamini bei ya Messi tu ni kubwa zaidi ya hiyo hela, huyo 'Kun' atacost labda at least £20m.Kama mm ndo SAF, na miburungutu yangu huyooooo hadi Nou Camp...hodiiii,hawajamaliza kuniitikia..."naomba niitiwe Lionel Messi tafadhali".
Nikitoka hapo moja kwa moja A.Madrid..."namuhitaji kijana mdooogo sergio Aguero".
Hawa wawili ni sawa na C.Ronaldo wanne.
Leo nimesoma sehemu Bayern wanataka £90m for Ribery!! Nadhani bei za hawa jamaa zinakuwa kubwa kwa kuwa kuna clubs zaidi ya tatu zenye hela za mchezo na zote ziko interested, sasa kilichopo hapa ni kuonyeshana jeuri tu- so far Madrid wanaongoza hii ligi ya fweza.KKN, nilisoma few days ago kuwa kihalali bei walizowekewa Benzema na Ribery zinashuka especially kwa Benzema anapatikana kwa nusu ya bei waliyotaja. Kwenye deal ya Ribery ningewapa Berbatov na million kadhaa juu.
Leo nimesoma sehemu Bayern wanataka £90m for Ribery!! Nadhani bei za hawa jamaa zinakuwa kubwa kwa kuwa kuna clubs zaidi ya tatu zenye hela za mchezo na zote ziko interested, sasa kilichopo hapa ni kuonyeshana jeuri tu- so far Madrid wanaongoza hii ligi ya fweza.
The press in Germany claim 75m - around £65m - would be enough to get the playmaker. However, it is highly unlikely any club, be it Chelsea, Manchester United or Real Madrid, would do business at that price
KKN wachezaji wa kuuzwa ni Manucho,Campbell ,Nani then Fergie amlazimisha GNevile astaafu nafikiri Fergie anasubiri hatma ya afya ya Hagreaves kabla hajaanza kufanya usajiliMi sidhani kama kati ya Carrick, Anderson na Park kuna anayezidi £8m, huyo Berb kwa sasa itakuwa bahati sana kupata hata nusu ya hela aliyonunuliwa toka Spurs.