KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
Wala sijapata muda hata wa kufungua maana ripoti ikiandikwa Nairobi najua ni TRASH
Asiewajua nyie wazee wakugeuza maneno nnani?? Hata muandikaje Tz hatutauza mahindi kamwe tena, ni mwendo wa Unga tu.. You want floor come for it hamtaki kufeni njaa[emoji23][emoji23]Nairobi News only quoted your hardworking prefect threatening his Tanzanian subjects for stating the truth.
wacha kuuliza maswali ya kijinga na haujasoma report! in rural tz yaani akina chato, wanao ugua njaa ni 84%Ujue wewe huna akili yani ni mbumbumbu.. There's no shortage of food in Tanzania labda useme wanakaa njaa kwa kutokua na hela ya kununua chakula na Daressalaam ni Urban na hakuna mashamba, and why talking about Dar alone and not Tanzania as a whole??? In Kenya the case is quite different. Kenya yote urban and Rural kuna njaa, hakuna chakula..And never will Kenya produce Enough food for herself, ni lazima mnunue.. Sisi tunajitosheleza kwa vyakula vyote the problem comes to the purchasing power of an individual especially to the urban residents...
Leta picha au unaongelea njoziwacha kuuliza maswali ya kijinga na haujasoma report! in rural tz yaani akina chato, wanao ugua njaa ni 84%
Ni upumbavu wa hali ya juu kuongelea floods bila kuhusisha ujenzi unaoendelea terminal III. Na mbona zisitokee kabla ya ujenzi wa Terminal III?Trust me, these people are caged. The other day their 'Intl' Nyerere airport flooded and were not allowed to report on it and those who did were under threats. A Kenyan akaanzisha thread about floods in Tz the 'Mods' wakasitisha in the name of "protecting" Tz's image. Those who are loud mouths here hawacontribute anything in forums that engage serious matters about their country. Ni ujinga tu kujilinganisha na Kenya. You wonder some claim to be old men, SMH!! We call them Makubwa jinga. Am not surprised if you realize you have been wasting time arguing with lazybones employed to stay here just to make stupid arguments..
hii thread ulijiepusha nayo. ulikuwa tu unapita kimya kimya pembeni hadi Kim Jong un akaingilia kati sasa naona muneanza kubadilisha mada. Ile ya floods mlisha ipoteza na leo najua pamekufa mtu kwa kikundi cha tz propaganda team.Ni upumbavu wa hali ya juu kuongelea floods bila kuhusisha ujenzi unaoendelea terminal III. Na mbona zisitokee kabla ya ujenzi wa Terminal III?
Huko mnashindia mahindi kama ng'ombe wa trumpUkweli ni kuwa isipokuwa ndizi na kongoro watanzania hawana chakula kiingine isipokuwa ubwabwa na chips mayai
Hamna propaganda team huku kama kikundi chenu cha taarab cha twitter humu ni magetoni ukileta fyokofyoko za ajabu njemba yeyote inakurukia inakupaka kyhii thread ulijiepusha nayo. ulikuwa tu unapita kimya kimya pembeni hadi Kim Jong un akaingilia kati sasa naona muneanza kubadilisha mada. Ile ya floods mlisha ipoteza na leo najua pamekufa mtu kwa kikundi cha tz propaganda team.
sawa kuliko supu ya kongoro na firigisiHuko mnashindia mahindi kama ng'ombe wa trump
Nzuri kwa afya weka pilipili na ndimu pembeni na bapa paleesawa kuliko supu ya kongoro na firigisi