Lets share digital life

Lets share digital life

StarTimes Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
260
Reaction score
141
habari zenu wana JF

Naomba mtupokee, katika forum yenu, tunatambua kutakuwa na hoja nyingi kutuhusu na sisi tupo hapa kwa ajili ya hilo, tutajitahidi kadiri tuwezavyo kuwapatia majibu sahihi.

Ahsanteni sana
 
Kwanini ving'amuzi vyenu vina scratch kinyama huku arusha yani ni kero tupu hakuna picha wala sauti!!:angry:
 
Karibu sana JF...kama kweli wewe ni mwakilishi wa Starmedia, basi tambua ya kwamba ninyi ni matapeli tu wala hamna nia nyingine zaidi ya hiyo.
Mna propaganda za kinyonyaji na zilianza kudhihirika tokea mnaanza kufanya recruitment.
QoS zenu ni mbovu hakuna mfanowe na mbaya zaidi teknolojia yenu haikidhi kabisa kiu ya watazamaji.
 
Back
Top Bottom