Habari zenu jukwaani:
Naomba tushare hapa
Ni maneno gani mazuri ya malovidavi tuachane na common yaliyozoeleka
Tutumie ya kisasa ya kwenda na wakati (mwendo kasi):
Nataka yawe kwa English na Swahili plizzz zingatia hili.
Maneno yatakayopendeza nakuvutia ndio tutakayotumia kuanzia siku ya leo Members wote wa JAMII FORUM kwa Waume zetu, Wake zetu, Wapenzi wetu na Familia zetu....
Hii ikiwa ni kivutio na kuongeza upendo ndani ya Jamii.
Naanza mimi kutaja kwa majina haya...
1. Utamu wangu
2. My Gampeace(tulizo la roho yangu ama na nafsi yangu)
Karibuni
Leteni maneno ya mahabati....