rajab177
Member
- Jun 16, 2017
- 12
- 1
Kuna msemo mmoja naupenda mno...'hakuna aijuae kesho yake' au wengine wanasema "kipele hakimpati mkunaji"...wengi tulikuwa na dream ya kazi ama kitu tunachopenda kifanya kwa ajil maisha yetu.
Binafsi nilipenda Jeshi lakini nimeangukia kwingine.
Hebu tushare pamoja, ni kaz ipi ilikuwa ya ndoto yako na sasa umeangukia wapi?
Binafsi nilipenda Jeshi lakini nimeangukia kwingine.
Hebu tushare pamoja, ni kaz ipi ilikuwa ya ndoto yako na sasa umeangukia wapi?