Rich chicks na wao pia wanatafuta watawi yanaoendana nao. May 0.01% ndio wako ready to middle with all classes, sasa nyie vya kiume ni wangapi matakaopata tenda katika idadi hiyo ndogo? I am sure ni lazima wengine mtakuja kututafuta akina siye manungayembe.
kumbe na ww manungayembe !!
inaboa na inachofa kuwa na wasiwasi every time she will call asking for this and that, or whenever you feel like talking to her instead of finding peace and affection unachkipata baada ya kupiga simu ni baby naomba jamani pesa ya kununulia kitu flani sina..
Duh...!:tape2:Huna pesa chapa lapa....Alllaaa :A S angel:
Duh...!:tape2:
Yaani ulivyoiandika inatisha kweli....nimejaribu kufikiria mwanaume akiambiwa maneno hayo na mwanamke 'live bila chenga' jinsi atakavyojisikia...hasa kama kweli huyo mwanaume hana pesa!Vipi mbona mshangao mkubwa?
Yaani ulivyoiandika inatisha kweli....nimejaribu kufikiria mwanaume akiambiwa maneno hayo na mwanamke 'live bila chenga' jinsi atakavyojisikia...hasa kama kweli huyo mwanaume hana pesa!
Ndio maana Huricannes zinapewa majina ya wanawake.
Wakiwa wanakuja wako wet and wild, wakiondoka wanachukua nyumba, gari na utu.
"Be eyes"
Huna pesa chapa lapa....Alllaaa :A S angel:
Kama wewe hutaki kuchunwa just make it clear from day one, na utaona. Wanawake wanaomba pale wanapohisi watapewa. If they are looking for love, they will stay even if you don't supply material things. Na if they are looking for material things, hata upende kiasi gani, hata awe na pesa kiasi gani, atataka pesa zako pia. materialists ni materialists tu, awe na pesa au awe maskini.
teh teh teh kheeee kongosho umefika mbaaaliiii yaani nimecheka sana kuna watu wako fast kufikiri!!!???