Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaanza na weweJe avatar yako ina maana yoyote kwako? kama ndio ni ipi?
Na 007Imetokea tuu, J imestand kwa John ni hivyo 2
ID yako ni special case.Yangu ndio mimi na mashoga zangu😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀ID yako ni special case.
Jina la ajabu ingawa ni verified.
Post chache ingawa ipo tangu 2007.
Halafu avatar yenyewe tabu tu hata sijui nimtongoze nani.
Unaweza kuielezea kwa ufupi?
Uhohio aho?? Nethikuvonie😀
😀😀😀😀
ngoja nijibu kila mstari
Jina la ajabu hilo ndio jina langu tena la kipare kabisa sio kizungu wala kiarabu
Posta chache ni kweli mimi kama sina cha kupost siwezi kupost ubuyu au uzushi
Kuhusu avatar wewe chagua uliyempenda kati yangu na hao mashost zangu
Ndio nimeweza kuelezea kwa ufupi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yangu ndio mimi na mashoga zangu😀😀😀😀😀😀
007 Si username Mkuu?.Na 007
Nimetosheka.😀