Let's Talk About Avatar

John007

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
76
Reaction score
71
Je avatar yako ina maana yoyote kwako? kama ndio ni ipi?
 
Avatar yangu inamaanisha SERIOUS..mdogo wangu KAUZU hataki mazoea ya kijingakijinga


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mimi avatar yangu naipenda sana kwa sababu girlfriend wangu aliniambia nitabasamu ili anichore na alipomaliza kunichora akawa amenitoa kama nilivyo!!.......Niliupenda mchoro huo na ndo maana nimehamua kuuweka hapa JF kama avatar yangu pendwa!
 
πŸ˜€
ID yako ni special case.

Jina la ajabu ingawa ni verified.

Post chache ingawa ipo tangu 2007.

Halafu avatar yenyewe tabu tu hata sijui nimtongoze nani.

Unaweza kuielezea kwa ufupi?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ngoja nijibu kila mstari

Jina la ajabu hilo ndio jina langu tena la kipare kabisa sio kizungu wala kiarabu

Posta chache ni kweli mimi kama sina cha kupost siwezi kupost ubuyu au uzushi

Kuhusu avatar wewe chagua uliyempenda kati yangu na hao mashost zangu

Ndio nimeweza kuelezea kwa ufupi
 
Baada ya kugundua Mimi ni bonge la handsome niliona niweke tu picha yangu halisi.
 
Uhohio aho?? Nethikuvonie
 
Nimetosheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…