Lets talk about Haja Kubwa


aisee... Kumbe hata makimba yana utaalam wake
 
Hahahahahhaa Mtaalam Mphamvu
Je kiafya tunatakiwa
  • kakata gogo si chini ya mara ngapi au si zaidi ya mara ngapi kwa siku .?

Alafu ebu elezea kati ya Kinyesi kigumu na kile chepesi ni kipi kinafaa?
 
Last edited by a moderator:
RIP my breakfast.
Acha uzushi wewe, mbona kwa mkeo unazama mpaka... na bado breakfast inalika?
Puuuuu.... Hii thread inanukaaaaaaaaaaaa! khaaaa.........
Utakuwa umejamba wewe, si bure.


Mphamvu usiku wa saa nane ukawazaje hii mambo jameni...kweli hii ndo Jf!
Hiyo ni postng time mkuu, si unakumbuka niliwaahidi https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/257735-bonge-moja-la-thread-2.html , sasa ndo nilikuwa nalifanyia mchakato.

khaa jf kuna mambo loh....

....uwiiiii.....

Dah!!! Hii thread safi sana.


zis is JF....:yo:



Mweeeeeeeeeee!

Thanks for your complements wakuu, ingawa mtu chake, Smile, Cantalisia na TANMO wanashangaa-shangaa tu.
 
Last edited by a moderator:
Nimeishiwa maneno. Uzuri nimeelewa toka mwanzo hadi mwisho.
 
Hahahahahhaa Mtaalam Mphamvu
Je kiafya tunatakiwa
  • Kakata gogo si chini ya mara ngapi au si zaidi ya mara ngapi kwa siku .?
Alafu ebu elezea kati ya Kinyesi kigumu na kile chepesi ni kipi kinafaa?

Samahanini member wengine, naomba nijibu kwanza hoja hii ya Mtazamaji kwa kuwa nimeiona ina umuhimu wa pekee.
Kuhusu idadi za haja tunazotakiwa kwenda, hakuna jibu moja, hasa kwa kuwa mazingira tunayoishi ni tofauti na suala la haja linategemea sana chakula unachokula, aina na kiasi.

Kwa mazingira yetu, kwa ulaji wa kawaida unaozingatia ratiba, kwenda choo mara moja (au pengine mbili) kila baada ya masaa 24 ni reasonable. Kumbuka kukaa muda mrefu bila kwenda choo, au kwenda haja mara kwa mara (kuanzia mara tatu kwa saa 24) ni dalili za matatizo kwenye mfumo wa kumeng'enya chakula au ulaji mbaya wa chakula.

Kuhusu kufaa kati ya choo laini na kigumu, naweze kujibu ifuatavvyo:-

Kwa kawaida, choo laini (sio uharo) ni dalili ya umeng'enyaji mzuri katika mfumo wako wa chakula, kwa hiyo ni dalili ya afya njema. Na kama nilivyoeleza hapo juu, kupata choo ngumu kunasababishwa na kula vyakula vikavu, kukosa mbogamboga/matunda na kutokunywa maji ya kutosha. Kwa ujumla unaweza kusema, under normal mazingira, choo laini ni kizuri kiafya.
 
Last edited by a moderator:
Hebu ntake radhi baba! Mi nimezaliwa na kuanza shule wakati mwl j k nyerere ni president wa tz! Ila mdingi alienda shule abroad, nadhani akaja na poti ( si unajua wakati ule tv na magari ilikuwa ni soo, mwalimu hakuruhusu)
 
Last edited by a moderator:
Na unashauiwa kuwa ili uweze kujisaidia kwa raha ni vizuri utumie choo cha kuchuchumaa badala ya kukaa kwani tofauti na kile cha kukaa cha kuchuchumaa husababisha sphincter zitanuke kwa utaratibu unaotakiwa na hali itakayokufanya ujisikie vizuri wakatii kinyesi kinashuka.
 
Mi apo kimba ingerudi tumboni tu hakuna ubishi, ntakunya nkirudi kwangu.
 
Mphamvu :
1. Mavi magumu husababisha "haemorroids".. Hivi ni vivimbe ambavyo tiba yake ni ya kupaka mkunduni.. Vikiwa sugu,huitaji upasuaji mdogo. Kuepuka ni kula matunda kama ndizi na mapapai,na vyakula asili ya "legumes"

2. Fanya utafiti zaidi,kwani mi mlaji sana wa pilipili na sijapata tatizo lolote ninapokunya..
 
Last edited by a moderator:
Aina za uchambaji,nazo sijui ni za miaka gani.. Yaani majani,na kujigua kwa jiwe,au ukuta... Sehemu yenyewe ilivyo laini kweli?

Mkuu Mphamvu.. Cheki tena vyanzo vyako!
 
Last edited by a moderator:

Hapa rafiki yangu Mzizi Mkavu haoni ndani
 
Last edited by a moderator:

Kaazi kweli kweli.
 
aisee... Kumbe hata makimba yana utaalam wake

Ndiyo TIMING,
ni lazima kuwe na utaalam wa haja kubwa kwa vile ina uhusiano mkubwa na mfumo wa umeng'enyaji chakula. Kama kuna tatizo katika ulaji wako bila shaka na unyaji wako pia utakuwa na matatizo. Kwetu Tanganyika hatujawa na ujasiri wa kuyasema haya hadharani, ndio maana hata mtu mzima anapoambiwa apeleke choo kubwa hospitali huwa inakuwa kasheshe, magonjwa kama konstipesheni (sina hakika kama ni ugonjwa) huwa hayaripotiwi mara kwa mara, sio kwamba watu hawaumwi, la! Ila ni aibu ya kusema kama tugonjeka sehemu nyeti.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…