Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu@King'asti kumbe wewe ni mtu mzima mwenzangu? hujambo lakini? mbona Avatar yako ya kijeshi umeitowa? Nime i miss sana ninakuomba uirudishe avatar yako......Hebu ntake radhi baba! Mi nimezaliwa na kuanza shule wakati mwl j k nyerere ni president wa tz! Ila mdingi alienda shule abroad, nadhani akaja na poti ( si unajua wakati ule tv na magari ilikuwa ni soo, mwalimu hakuruhusu)
@The secretary mimi ninacheka tu kwa Thread hao watu wanavyomjibu kwa Mkuu @Mphamvu Thread hii imenifurahisha sana.Hapa rafiki yangu Mzizi Mkavu haoni ndani
Mi apo kimba ingerudi tumboni tu hakuna ubishi, ntakunya nkirudi kwangu.
Mphamvu :
1. Mavi magumu husababisha "haemorroids".. Hivi ni vivimbe ambavyo tiba yake ni ya kupaka mkunduni.. Vikiwa sugu,huitaji upasuaji mdogo. Kuepuka ni kula matunda kama ndizi na mapapai,na vyakula asili ya "legumes"
2. Fanya utafiti zaidi,kwani mi mlaji sana wa pilipili na sijapata tatizo lolote ninapokunya..
Hapa rafiki yangu Mzizi Mkavu haoni ndani
mmmh hadi nimebanwa ma**
Na unashauiwa kuwa ili uweze kujisaidia kwa raha ni vizuri utumie choo cha kuchuchumaa badala ya kukaa kwani tofauti na kile cha kukaa cha kuchuchumaa husababisha sphincter zitanuke kwa utaratibu unaotakiwa na hali itakayokufanya ujisikie vizuri wakatii kinyesi kinashuka.
hapo ndipo mungu alipotukutanisha..maana hata uwe nani..lazima unye..hata kikwete naye anakunyaga..hata obama naye anakunyaga!
Bado umebanwa?
Dah!! kukata Gogo starehe bwana, Mi mipango yangu mingi naifanya nikiwa nakata gogo.
Mphamvu usiku wa saa nane ukawazaje hii mambo jameni...kweli hii ndo Jf!