namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
hapo ndipo mungu alipotukutanisha..maana hata uwe nani..lazima unye..hata kikwete naye anakunyaga..hata obama naye anakunyaga![/QUO
Umewasahau na hawa mkuu sababu na wao wanakata gogo usipime,watu hao ni slaa,mbowe,mnyika,mushumbuzi na wengineo kutoka ufipani kino clan.
Ukiweka gazeti wengine watadhani umewawekea kitawadhio! Kuna watu wanadriki kujichokonoa kwa vidole vya mikono yao halafu wanabandika ukutani utafikiri wanatafuta vitambulisho vya NIDA.Una miaka mingapi King'asti, maana kama umekelia poti kwa mazingira ya kibongo utakuwa mtoto sana.
Ishu ya majarida inawezekana katika vyoo vya kukaa, ambako ni rahisi kuwa na balance ya kushikia hilo gazeti. Bowel movement, ni rahisi sana, you just eat with dicipline, kuwa na ratiba maalum ya kula, muda na kiasi cha chakula ambacho hakibadiliki badiliki kunafanya uwe na muda mahususi wa kukata gogo. And thats pretty cool!
Kwahiyo mkuu ulisota kwenye mawe? Kamilisha habari yako!Niliwahi kwenda mkoa flani Magharibi mwa Tz nikawa na mizunguko ya kibiashara ktk baadhi ya vijiji, kuna siku nikalala kwa Mzee mmoja hapo kijijini , akiwa ndiye mwenyeji wangu.
Mzee yule alikua anamiliki wake 6 , kilichoniachia historia ni pale mgeni mie nilipoomba kwenda msalani, nikapewa jembe tena bila hata kopo la maji then nikaonyeshwa chaka , hapo nikaambiwa hua wanajisaidiaga mchana, na ikiwa usiku hua wanashuka ziwani. Kwani nyumba haikua mbali na Ziwa.
HAINA UBISHI NYUMBA CHOO.
Takbiiiiir,hio ni SUNNA.Wakati niko Mpanda Katavi nilikuaga nikimaliza kunya najishenenta kwenye ukuta wa Choo. Choo chetu kikawa kimejaa mialama ya mavi ukutani
Bange bwana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wakati niko Mpanda Katavi nilikuaga nikimaliza kunya najishenenta kwenye ukuta wa Choo. Choo chetu kikawa kimejaa mialama ya mavi ukutani
hahaha..hatari sana.Niliwahi kwenda mkoa flani Magharibi mwa Tz nikawa na mizunguko ya kibiashara ktk baadhi ya vijiji, kuna siku nikalala kwa Mzee mmoja hapo kijijini , akiwa ndiye mwenyeji wangu.
Mzee yule alikua anamiliki wake 6 , kilichoniachia historia ni pale mgeni mie nilipoomba kwenda msalani, nikapewa jembe tena bila hata kopo la maji then nikaonyeshwa chaka , hapo nikaambiwa hua wanajisaidiaga mchana, na ikiwa usiku hua wanashuka ziwani. Kwani nyumba haikua mbali na Ziwa.
HAINA UBISHI NYUMBA CHOO.