Kwenye uzi huu tegemea kujifunza mambo makubwa kuhusu psychological Mind of human behaviour
Ningependa watu wachague mada za kuanza nazo then tutazitolea ufafanuzi
- psychological mind of criminal behaviour
-Psychological mind of adolescence
-Psychological mind of
adult&adulthood
-Stress its type,effects and how to overcome
-Personality of an individual
Psychological mind of politicians
Na zingne nying ila tutaanza na hzo
Nawaahid ntaenjoy na mtajifunza mengi
Counselor